Saturday, March 15, 2014

Timu ya Kilimani City inatarajiwa kucheza siku  ya Alhamisi   majira  saa 8 mchana  katika uwanja wa Amani Wilaya ya Mjini siku hiyo inapambana na Shangani FC timu inayo ongoza kundi B kwakujikusanyia point 15 wakati Kilimani City inapoint 10 na imeshika nafasi ya nane, kila moja ishacheza michezo 7na kubakisha michezo mitano
Katika nngwe hiyo timu ya shangani ambayo haikuwahi kupoteza mchezo hata mmoja katika mechi 7 zilizopita na iko fainal katika mchezo wa mtoano inayotarajia kucheza na timu ya Mafunzo.
Hivyo timu ya kilmani city imekabiliwa na mchezo mkali na muhimu kwakujiwekea matumaini ya kuingia katika timu nane bora ambazo kila kundi hutoa timu nne tu.
Namsimamo wa kundi B uko kama ufauatavyo:-

POSITION  CLUB PLAY GOALS DIFFENCE POINTS
1
SHANGANI 
7
7
15
2
MZALENDO
7
4
15
3
MANISPAA
7
6
14
4
UJAMAA
7
7
13
5
KIJANGWANI
8
-2
13
6
VIKOKOTONI
8
1
11
7
WESTCOAST
7
1
11
8
KILIMANI CITY
7
1
10
9
WAGUMU
7
0
9
10
ROMA
7
-1
8
11
MUEMBELADU
8
1
8
12
SUPERSPORTS
8
-12
4
13
GRENADA 
8
-10
2

Wapenzi wa michezo wa Mkoa wa Mjini Magharibi wanaombwa kufika kwa wingi tarehe 20 machi Amani kujionea pambano kali kati ya Shangani na Kilimani City majira ya saa 8 mchana kwa  kiingilio cha shilingi 500 tu.



No comments:

Post a Comment